Otile Brown & Sanaipei Tande – Chaguo La Moyo (MP4 Video Youtube)

 

Otile Brown & Sanaipei Tande – Chaguo La Moyo Lyrics

[Intro: Otile Brown & Sanaipei Tande]
Hey hey
Oh, baby
Teddy B
No, ooh
Tam tarara tam tam, yay
Oh, baby
Tam tarara tam tam

[Verse 1: Sanaipei Tande & Otile Brown]
Mi’ nakuchagua wewe, wewe uwe wangu (aah)
Mume wangu, baba ya watoto wangu (aah)
Kupendwa nawe majaliwa, kukuoa ni baraka, eeh (aah)
Mshikaji wangu wa maisha
Oh, baby, I love you (aah)

[Chorus: Sanaipei Tande, Otile BrownBoth]
And for you
Ninabadili mienendo yangu, baba
Baby, for you
Ninaukimbia ujana mama, eeh (yay yay)
Nijenge boma nawe (nawe)
Nizae watoto nawe (nawe)
Niwalee pamoja nawe (nawe)
Nizeeke pamoja nawe (nawe)
Nataka nijenge boma nawe (nawe)
Nizae watoto nawe (nawe)
Niwalee pamoja nawe (nawe)
Nizeeke pamoja nawe (nawe)
Chaguo la moyo tam tarara tam tam
Chaguo la moyo tam tarara tam tam (yay)

[Verse 2: Otile Brown & Sanaipei Tande]
Na kwenye madhabau unavong’aa
Unavopendeza kwenye lorinda
Oh, baby, I knew you’re the one for me
Oh, baby, you’re the one for me
I can tell the way you smile, the way you laugh
The way you talk, the way you walk
Baby, you’re the one for me
I swear you’re the one for me

[Chorus: Otile Brown, Sanaipei Tande, Both]
And for you
Ninabadili mienendo yangu, mama

Baby, for you
Ninaukimbia ujana wangu (yay, yay)
Nijenge boma nawe (nawe)
Nizae watoto nawe (nawe)
Niwalee pamoja nawe (nawe)
Nizeeke pamoja nawe (nawe)
Nataka nijenge boma nawe (nawe)
Nizae watoto nawe (nawe)
Niwalee pamoja nawe (nawe)
Nizeeke pamoja nawe (nawe)
Chaguo la moyo tam tarara tam tam (yay)
Chaguo la moyo tam tarara tam tam (yay)

[Outro: Otile Brown]
Otile Brown na Sanaipe


Otile brown chaguo la moyo mp3 download

Download Mp3 Here 


 

,